Menu - Pages
(Move to ...)
Home
Necta
Heslb
Tcu
▼
Tuesday, 31 January 2017
MATOKEO YA KIDADO CHA NNE 2016
›
>>>>>> INGIA HAPA <<<<<<<
Sunday, 15 January 2017
HAYA HAPA MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2016
›
>>>>>>> INGIA HAPA <<<<<<<<
Friday, 12 February 2016
Riek Machar makamu wa rais Sudan Kusini...BBC
›
Katika kutafuta amani ya Sudan Kusini, Rais Salva Kiir amemteua mpinzani wake Riek Machar kuwa makamu wa rais.Majeshi yanayowatii watu hawa...
Wanasayansi wagundua mvutano wa mawimbi...BBC
›
Wanasayansi nchini Marekani wamefanikiwa kubaini Mvutano wa asili wa mawimbi na kusema uvumbuzi huo unawapa mwanya mpya wa kuuelewa ulimwen...
ICC kuamua juu ya William Ruto...BBC
›
Mahakama ya jinai ya kimataifa -ICC leo inatarajiwa kutoa uamuzi ambao huenda ukakuwa na athari kwa kesi inayomkabili naibu rais wa Kenya W...
Bunge lachafuka A.Kusini, Malema nje...BBC
›
Kumetokea malumbano makali bungeni nchini Afrika Kusini ambapo wanasiasa wa upinzani wamechelewesha hotuba ya rais Jacob Zuma aliyekuwa aki...
Clinton na Sanders wajibizana kuhusu Obama...BBC
›
Wagombea urais wa chama cha Democratic Marekani Hillary Clinton na Bernie Sanders wamejibizana kuhusu Rais Barack Obama kwenye madahalo wa ...
Syria: Mataifa yaafikiana vita visitishwe...BBC
›
Mataifa yenye ushawishi duniani yameafikiana kuhusu mkataba wa kusitisha mapigano nchini Syria ambao utaanza kutekelezwa katika kipindi cha...
Thursday, 11 February 2016
Roboti inayoiga Mende ..BBC
›
Wanasayansi nchini Marekani wametengeneza roboti inayofanana na mende ambayo inaweza kutumiwa kuwaokoa watu kunapotokea tetemeko la ardhi. ...
Ashtakiwa kwa kumrusha burukenge mgahawani....BBC
›
Mtu mmoja mjini Florida anakabiliwa na mashtaka ya unyanyasaji baada ya kumtupa burukenge katika mgahawa mmoja wa chakula. Joshua James mw...
Ndege yenye shimo: Maswali 5 bila majibu...BBC
›
Ndege moja ya abiria ililazimika kutua kwa dharura baada ya bomu kulipuka ilipokuwa angani muda mchache tu kutoka uwanja wa ndege wa Mogadi...
Ndovu aingia mjini na kuhangaisha watu India...BBC
›
Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha wakazi kwa saa kadha. Maafisa walitumia ...
Magufuli akerwa na hali wodi ya wazazi Muhimbili...BBC
›
Rais wa Tanzania John Magufuli ameahidi kuchukua hatua baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika wodi ya wazazi katika Hospitali ya Taifa...
Nestle yavunja mkataba na IAAF...BBC
›
Kampuni kubwa ya chakula pamoja na vinywaji Nestle imevunja ufadhili wake katika shirika la riadha duniani IAAF ,ikihofia kwamba kashfa ya ...
Utafiti:Farasi hubaini hisia za mwanadamu...BBC
›
Farasi huweza kubaini kati ya mtu aliye na furaha na aliye kasirika kwa kuangalia uso wa mwanadumu,utafiti umesema. Katika jaribio, kwa ku...
Al-Shabab ''lashambulia uwanja wa ndege Somalia''..BBC
›
Wanamgambo wa kiislamu wamefanya mashambulio ya makombora katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu. Walioshuhudia wanasema wanamgambo hao wali...
Shule zafungwa Bangalore kwa sababu ya chui... BBC
›
Shule zaidi ya 100 zimefungwa nchini India baada ya chui mwingine kuripotiwa kuonekana viungani mwa mji wa Bangalore. Wakazi wametakiwa ku...
Rwanda lawamani juu ya Burundi.
›
Maafisa wa Wizara ya mambo ya nje ya Marekani wamesema wameona ushahidi kuwa serikali ya Rwanda imekua ikichangia matukio ya machafuko kati...
Aliyeishi muda mrefu na moyo wa kupandikizwa afariki... BBC
›
Mwanamume aliyeishi muda mrefu duniani na moyo wa kupandikizwa amefariki, baada ya kuishi miaka 33 na moyo huo. John McCafferty aliambiwa ...
Monday, 1 February 2016
Alshabab wavamia tena eneo la Mpeketoni Kenya...BBC
›
Watu wanne wameripotiwa kuuawa katika eneo la Bondeni Mpeketoni katika jimbo la Lamu. Waliotekeleza shambulizi hilo wanadaiwa kuwa wapigan...
›
Home
View web version