Hii
leo, chombo hiki ni moja ya meli za zamani kabisa duniani zinazobeba
abiria. Chombo
hicho, kilichopewa jina la The Goetzen, kilipelekwa Afrika Mashariki,
kusaidia kulinda koloni la Ujerumani wakati huo, dhidi ya majeshi ya
ushirika, wakati wa Vita kuu ya kwanza ya dunia.
No comments:
Post a Comment