Tuesday, 18 November 2014
Home »
» AJILIPUA KWA MAFUTA YA TAA..........source Global Publisher
AJILIPUA KWA MAFUTA YA TAA..........source Global Publisher
Kijana mmoja Nicholas Mhagama (25), mkazi wa Makongo Juu Dar, juzi kati alijilipua na mafuta ya taa kisa kikidaiwa kunyanyaswa na babu yake. Tukio hilo lilitokea eneo la Makongo Juu Makaburini usiku ambapo kijana huyo na babu yake aliyemtaja kwa jina moja la Mhagama waligombana.
Kijana Nicholas Mhagama (25) aliyejilipuwa na mafuta ya taa akidai kunyanyaswa.
0 comments:
Post a Comment