Shirika
la madaktari wasio na mipaka Medecins Sans Frontieres limesema kuwa
viwango vya Ebola nchini Liberia humo vimeshuka kidogo.
Hata
hivyo shirika hilo limeonya kuwa kuna ongezeko la visa vya ugonjwa
huo nchini Guinea na Sierra Leone likisema kuwa visa vya maambukizi
vilivyokuwa vimepungua nchini Guinea vimeongezeka tena.
Shirika
la afya duniani WHO limesema kuwa mafanikio nchini Liberia yanatokana
na jitihada za kuzika maiti kwa njia iliyo salama.
WHO
inasema kuwa karibu watu 5000 wameaga dunia kutokana na ugonjwa huo
0 comments:
Post a Comment